February 28, 2015

10394045_886139078074574_4914017600323650613_n
Diamond Platnumz ametajwa kuwania tuzo za 16 za Vodafone Ghana Music (Awards), VGMA 2015. Majina ya wasanii watakaowania tuzo hizo yametajwa kwenye hoteli ya La Palm Royal Beach Hotel jijini Accra, jana Ijumaa, February 27. Diamond ametajwa kuwania kipengele cha msanii bora wa Afrika (African Artiste of The Year). Wasanii wengine watakaowania kipengele hicho ni  
Soma zaidihapa

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE