Jeshi
la Polisi nchini, limesema majambazi waliokuwa wamejificha katika
mapango ya Amboni nje kidogo ya jiji la Tanga wamekimbia.
Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa jeshi hilo, Kamishna Paul Chagonja, akizungumza jana alisema majambazi hao wamekimbia baada ya kuzidiwa nguvu na askari wa jeshi lake wanaoshirikiana na Jeshi la Ulinzi wa Wananchi wa Tanzania (JWTZ).

0 MAONI YAKO:
Post a Comment