Kamba iliyotumiwa kumyongea aliyekuwa rais wa Iraq marehemu Saddam Hussein imedaiwa kuuzwa kwa zaidi ya dola millioni 4.
Licha ya Saddam kunyongwa mwaka 2006,watu bado wanamuenzi na mtu mmoja amejitolea kulipa dola millioni 7 kununua kamba hiyo iliokatiza maisha ya kiongozi huyo wa zamani.
Kulingana na gazeti la Metro,Baadhi ya watu matajiri wanaoitaka kamba hiyo wanatoka mataifa ya Kuwait,Iran na Israel.
Kamba hiyo kwa sasa inamilikiwa na Dr Mowaffak al-Rubaie,mshauri wa usalama wa zamani nchini Iraq,ambaye aliongoza eneo ambalo rais huyo wa zamani aliuawa.
Aliamua kuihifadhi kamba hiyo baadaye na sasa anataka zaidi ya dola millioni 7 kuiuza kamba hiyo
VIJANA NA WASOMI MKOANI MWANZA WAHIMIZWA UZALENDO NA UJASIRIAMALI KATIKA
KONGAMANO
-
Na Mwandishi Wetu
Katika jitihada za kuimarisha chachu ya maendeleo, Kongamano la Wasomi
lililoandaliwa na Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM)...
5 days ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment