Kwa kutumia programu mpya itakayowekwa kwenye simu hizo kwa gharama ya dola za marekani 34 tofauti na vipimo vya kawaida vinavyogharimu dola 18,00, simu hizo zinatumia matone ya damu na hutumia dakika 15 kupata majibu.
Inasemekana hadi sasa wanawake 96 kutoka Uganda wamefanyiwa vipimo kwa njia hiyo na kupata majibu yanayoridhisha na kuchapishwa kwenye jarida la masuala ya sayansi na tiba nchini humo.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment