Ni msanii chipukizi kabisa katika anga ya muziki wa Bongo fleva, wimbo wake huu ndiyo wa kwanza lakini umeonekana kuteka hisia za watu wengi sana kwa sasa, anaitwa Ruby wimbo unaitwa na yule. Tenga muda wa kuuskia na kuupakua hapa
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment