Habari zilizotufikia kutoka Mafinga Iringa ni kwamba watu zaidi ya arobaini wamefariki kufuatia basi la Majinja walilokuwa wanasafiria kutoka Mbeya kwenda Dar kugongana na Lori na hatimaye basi hilo kufunikwa na Kontena hilo. Taarifa zaidi tutawaletea
JAB YAAMINIKA NA WADAU KUIMARISHA TAALUMA YA HABARI.
-
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
Wadau wa sekta ya habari nchini wamesema mfumo wa ithibati ya Waandishi wa
Habari umechangia kurejesha heshima, uwajibik...
1 hour ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment