March 31, 2015

Mtandao wa kijamii wa whatsapp unautumiwa na mamilioni ya watu ulimwenguni, umeanzisha uduma mpya ya kupiga na kupokea simu

Awali mtandao huo ulikua na huduma za kawaida za kutuma ujumbe, video, picha au kurekodi sauti. Kwasasa mtandao huo umeongeza ufanisi wake na kuanzisha huduma ya kupiga simu.

Ili kuweza kuitumia huduma hii mpya, kuna mambo machahce ambayo mtumiaji anatakiwa kuyafanya. Masharti hayo yatamuwezesha mtumiaji kuweza kuipata huduma hiyo.

Kwanza unatakiwa kuwa na toleo jipya kabisa katika simu, kompyuta au tablet yako. Kisha mtu ambaye ameshaweza kuingizxa huduma hii kwenye kifaa chake anatakiwa akupigie na hapo itakua tayari imeingia. Namna hii nawewe utaweza kuwasiliana na yeyote kwa kumpigia simu

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE