March 21, 2015

Zitto Kabwe akionyesha kadi ya uanachama ya Alliance for Change and Transparency (ACT) mara baada ya kukabidhiwa na kujiunga rasmi jana. Akiwa na Kadi namba 007194 

Zitto Kabwe akifurahia jambo na mwanachama mwenzake Dr. Kitilya Mkumbo mara baada ya kuwa mwanachama rasmi.

Hatimaye Aliyekuwa Mbunge wa Kigoma, Mhe. Zitto Kabwe amejiunga Chama cha Alliance for Change and Transparency (ACT).

Akizungumza Katibu Mkuu wa ACT, Samsom Mgamba alisema wamempokea Zitto kwa Mikono Miwili na wamempa kadi ya uanachama rasmi namba 007194.

Juzi Mbuge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe kuliaga Bunge na kutoa kauli ya 'Tunaonana Bungeni Novemba' hakika kauli hiyo iliwachanganya watu wasijue ataingia kwa tiketi ya chama gani

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE