March 20, 2015

 
Hii ni katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mkurugenzi wa Nyumbani Park $ Samaki Spot Morogoro Boss Lady Farida Mees Matlou, utakosaje sasa?? Twanga Pepeta watakupa burudani bandika bandua mpaka kieleweke, njoo tukate keki na Boss Lady  Madam Farida. pia utapata burudani kibao toka kwa Ma dj wakali wa ndani na nje ya Moro. Hili ni kubwa zaidi kabisa haijawahi tokea

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE