Mvua ya dhoruba kali iliyotokea katika mji wa Dhakanchini Bangladeshi imewauwa watu wapatao 36 na kuwajeruhi watu zaidi ya 200.
Mwandishi wa gazeti la local Prothom Alo ametangaza vifo vya watu 20 vilivyotokea kaskazini mwa mji waBogra.
Mwandishi huyo ametaarifu kuwa dhoruba hiyo imepelekea kukatika kwa umeme na nyuma kadhaa kubomoka.
Taarifa hiyo ilizidi kufahamisha kuwa mvua hiyo iliharibu mazao kwa kiasi kikubwa
0 MAONI YAKO:
Post a Comment