April 20, 2015

 
Kocha mmoja wa Rwanda 
Rwanda imeteuliwa kuwa mwenye wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFGA Challenge Cup, Novemba mwaka huu.
Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amethibitisha uamuzi huo.
Rwanda inatazamia kutumia fainali hiyo kujiandaa kwa michuano ya fainali za kombe la Mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanashiriki ligi ya nyumbani, maarufu kama CHAN.
Fainali hizo za CHAN, ndio ya pili kwa ukumbwa barani na hushirikisha wachezaji chipikizi wanaocheza ligi mbali mbali nchini mwao.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE