
Mshindi wa Airtel Trace music star Mayunga Malimi leo alifunguka kupitia
interview yake aliofanya na Clouds Digital na kusema alishawahi
kumwomba marehemu Magwea kufanya naye collabo na akakubali bila malipo
yoyote ila kwa bahati mbaya baada ya wiki Magwea alifariki na ndipo
alipo amua kumshirikisha Mr Blue baada ya Magwea kufariki katika wimbo
wake huo wa Tell Me.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment