April 29, 2015

Clouds FM yapata tuzo ya Super Brand Radio Afrika Mashariki 
Kwa mara nyingine Clouds Fm  imepokea tuzo bora za viwango ‘Super Brand’’ 2015-2016.
tuzo1 
 Mkuu wa Kitengo cha Idara ya uchambuzi wa viwango Afrika Mashariki,Jawad Jaffer akizungumza wakati akitoa tuzo hizo alisema kuwa wamezingatia maoni ya wataalamu wazoefu wa masoko na walengwa wa huduma na bidhaa ambao wana haki ya kuamua aina ya viwango bora vya supabrands na kupongeza makampuni ambayo yamefanikiwa kuingia 20 bora.
 Makampuni mengine yaliyopata tuzo ni Azam ,Bakhresa,Panadol,ITV.Tanga Fresh,M PESA,NMB ,Clouds Fm,FURNITURE CENTRE,VODACOM,Kilimanjaro Drinking Walter,CRDB ,Whitedent,Konyagi,Oryx ,Blueband ,Coca-Cola ,Fnta,Coral  Paints na  Toyota.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE