Kwa style yake ya kuimba imemfanya awe Mfalme wa Uswahilini, Wanamuita Msaga Sumu huku kwetu uswahili tunamjua sana si jambo la kushangaa maeneo ya Chamwino,Mafisa, Msamvu, Kichangani, Mwembesongo na mpaka sasa amevuka kila mahali sio tena uswahilini tu sasa mpaka ushuani wenyewe wanamuelewa, hakika ukisikia nyimbo zake hata kama ulikuwa hupendi miondoko hiyo basi utajikuta unatingisha hata kichwa na kujikuta unaanza kuipenda taratiiiiiiiiiiiibu, sasa tazama hii moja ya Show ambayo ame perform.
MBUNGE MWAKIOJA ATANGAZA NEEMA YA SOKA WILAYA MKINGA
-
>Agawa vifaa vya michezo kwa timu zote zinazoshiriki Ligi ya wilaya ya
Mkinga
Na Oscar Assenga, MKINGA
Mbunge wa Jimbo la Mkinga mkoani Tanga, Twaha ...
39 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment