Kwenye ujumbe wake huo ambao kwenye upande wa picha ameweka camera ameandika maneno haya>>’Watanzania wabishi sana, miaka mitatu tu mtu anaanza kujifanya anajua kumpita mungu’
’Wengine wanaona kushika kamera na kushot ndio mwisho, tunafanya kazi na watu wengine njee tunajifunza sana vitu mkiona nimenyamaza mnaona km f**a vile, ngoja sasa, ota kwanza pata watoto waende shule, jenga nyumba, acha kutumia choo cha baba‘
’kama ni shabiki unadomo peleka kwenye sehemu flani amazing za unaempenda kabla kuhujanitest!!! Muda wa majeruhi ukiingia kwenye 18 zangu nakupendezesha alafu tunakuaga leaders’.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment