Huyu ni msanii mwingine Chipukizi toka mkoani Morogoro anaitwa Jay S. Hapa amemshirikisha mkali wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Mash J mzee wa mperanpera. Wimbo unaitwa ndivyo nilivya umefanyika katika stidio za kwanza Records chini ya mtayarishaji Vennt Skillz
Art; Jay s Ft Mash J
Song; Ndio Nilivyo
Studio; Kwanza Records
Prod; venntskillz
0 MAONI YAKO:
Post a Comment