![]() |
Wana CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga kelele kumwita Mh. Lowassa, ili awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la uwanja wa ndege wa Musoma. |
![]() |
Mh. Lowassa, akiwasili ofisi za CCM wilaya ya Bunda. |
![]() |
Mh. Lowassa, (kushoto), akiwashukuru wana CCM na wananchi waliojitokeza kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, wengine kwa nia ya kumdhamini na wengine kumuona. |
![]() |
Umati wa watu uliofurika kwenye ofisi za CCM wilaya ya Bunda, huku wengine wakiwa juu ya mti walau wapate kumuona. |
![]() |
Mh. Lowassa akiwasili ofisi za CCM wilaya ya Musoma. |
![]() |
Mh. Lowassa akiwasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime mkoani Mara. |
![]() |
Mh. Lowassa akiwapungia wana CCM na wananchi wengine alipowasili ofisi za CCM, wilaya ya Tarime. |
0 MAONI YAKO:
Post a Comment