
Anaweza akawa ana wimbo unaitwa Natangaza nia, hii itakuwa ni surprise kama ni ukweli anatangaza nia kweli au ni wimbo.
Kiingilio ni shilingi 8,000/=TSHS, kuanzia saa 2 usiku katika viwanja wa burudani Dar Live Mbagala Zakhem jijini Dar es salaam.
Machaku
0 MAONI YAKO:
Post a Comment