Baada ya kukaa kimya kwa muda toka audio ya chekecha cheketua ya Ally Kiba kwenda hewani, hatimaye msanii huyu leo hii hapa anakupa fursa ya kuitazama video ya wimbo huo
Arsenal na Chelsea leo, hizi ndio possible line-ups (watakaoanzaChelsea na Arsenal wanakutana leo Wembley kwa mechi ya ngao ya jamii kwa ajili ya msimu mpya.
Timu hizi mbili zimewahi kukutana tena kabla kwa mechi kama hii mwaka 2005 ambapo Chelsea ilishinda 2-1
Kwa Arsene Wenger hii…Read More
Fi Q: Naogopa uwongo wa Siasa
Bongo
Fleva mwaka huu inaweza kumake headlines zaidi kisiasa kama
waliotangaza nia wakafanikiwa kushika nafasi hizo wanazoziomba kutoka
kwa Watanzania,kuna waliotangaza kugombe Ubunge na wapo waliotanga…Read More
Wengi wavutiwa na muujiza Mali
Mali
Maelfu ya raia katika mji mkuu wa Mali Bamako wanaendelea kufurika ili kujionea kile kilichotajwa kuwa muujiza wa kidini katika ukuta mmoja ambao ulionekana wikiendi iliopita.
Wengi wanaamini picha hiyo nyeupe katika uk…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment