July 20, 2015

 Aliyekuwa mbunge wa Viti Maalum CCM esther Bulaya, ameweka wazi hatma yake ya ubunge ndani ya CCM. Bulaya ameandika ujumbe huu katika AC yake ya Facebook leo asubuhi

"Habarini watanzania, nimesema nitagombea jimbo la Bunda mjini lakini sitogombea kwa tiketi ya CCM, sina ugomvi na CCM wamenilea na nimekulia huko, na kutogombea kwangu kupitia CCM kusihusishwe na mtu na nafasi ya Urais. Ila nimelitumikia Taifa langu nikiwa CCM naona nitalitumikia Vizuri zaidi nikiwa kwingine. Kumbukeni chama ni njia ya kupita ila umuhimu wa kulijenga Taifa letu ni la watanzania wote bila kujali vyama vyetu. Mungu ibariki Tanzania'

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE