
Bado kuna hali ya sintofahamu miongoni mwa uhusiano uliopo kati ya Shilole na Nuhu Mziwanda ambapo shilole amesema wamegombana na hatarajii kuachia wimbo na mwenzake huyo ambaye walipanga kutoa wimbo..amesema mtu akizingua na yeye anamzingua.
Amesema Nuhu amekua na wivu sana wakati yeye anaangaika kutafuta pesa..ila amesema akijua alipokosea atamsamehe ila akizingua anatafuta mtu mwingine ambapo hata hivyo Nuhu Mziwanda amesema sio kwamba wanapromote wimbo na pia sasa hivi hana muda na Shilole…wana siku kama tatu tangu wagombane.
Wasikilize hapa.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment