
Naibu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto) akimkabidhi
kadi Msanii wa filamu nchini Mohamed Mwikongi "Frank" ambaye amejiunga
rasmi ACT na kutangaza azma ya kuwania Ubunge jimbo la Segerea

Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Msafiri Mtemelwa (kushoto)
akimkabidhi kadi na katiba msanii maarufu wa filamu nchini, Mohamed
Mwikongi jina la sanaa 'Frank' alipotambulishwa mara baada ya kujiunga
na chama hicho.

0 MAONI YAKO:
Post a Comment