Mwanmuziki nguli wa bongo flva Tanzania Nay wamitego, leo hii ametuletea video ya wimbo wake mpya wa Sina Muda. Mitazamo ya Nay imekwenda tofauti kabisa na wadau wake na mashabiki kwani wengi walitaraji kuona video ya Mapenzi au Pesa ndiyo ingetoka hivi karibuni Tazama hapa chini
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment