Mkali wa Hip Hop toka mkoani Morogoro Mash J aliyetamba na wimbo kama Penny na Mperampera, hivi sasa amekuja na maamuzi sahihi juu ya Kura yake. Mash J ametoa maelekezo kwa viongizo wanaohitajika hasa kipindi hiki cha uchaguzi mkuu
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment