Msanii alieshinda tunzo ya msanii anaechipukia mwaka
2014/2015 Barakah da’ Prince baada ya hit song Siachani nawe ameamua
kurudi na mzigo mwingine akiwa na mwana dada Rubby ambae pia ni tisho
katika game kwa sasa.
Sasa kesho Barakah da’ prince pamoja na Rubby wataachia ngoma yao
mpya iitwayo Nivumilie,lakini bado haijafahamika ni wameshirikiana au ni
project ya pamoja.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment