August 01, 2015


Chelsea na Arsenal wanakutana leo Wembley kwa mechi ya ngao ya jamii  kwa ajili ya msimu mpya.

Timu hizi mbili zimewahi kukutana tena kabla kwa mechi kama hii mwaka 2005 ambapo Chelsea ilishinda 2-1

Kwa Arsene Wenger hii itakua ni changamoto ya kuweka rekodi ya kushinda kwani kwa michezo 13 iliyopita Wenger ameshindwa kutamba mbele ya Mourinho.

Hapa chini nimekuwekea wachezaji wanaotarajiwa kuanza vilabu vyote viwili

Arsenal: Cech; Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Gibbs; Coquelin, Ramsey, Oxlade-Chamberlain, Ozil; Akpom, Giroud

Chelsea: Courtois; Ivanovic, Zouma, Terry, Azpilicueta; Fabregas, Matic, Willian, Oscar, Hazard; Remy

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE