Mgombea ubunge wa Sikonge kupitia CHADEMA amerejea CCM leo ktk viwanja vya Jangwani DSM.
Kumbuka Nkumba alijiunga na CHADEMA baada ya kushindwa kwenye kura za
maoni CCM. Alipewa kuipeperusha bendera ya CHADEMA kwenye uchaguzi wa
mkuu Oktoba 25.Wanaachama wa CHADEMA waliandamana kupinga uteuzi huo wakidai kuwa kuna
wanachama wamekijenga chama kwa muda mrefu, wakahoji iweje ateuliwe
mwanachama ambaye hana hata wiki kwenye chama.
Lakinitaarifa tulizopewa ni kwamba UKAWA hawajapoteza jimbo kwani baada ya maandamano
kumpinga, mshindi wa kwanza wa kura za maoni alirudishwa na ndo
anayegombea kwa tiket ya CHADEMA.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment