Tume ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuweka Wazi Daftari la Awali la Wapiga Kura katika Mikoa yote ya Unguja na Pemba kuanzia tarehe 03/09/2015 hadi tarehe 07/09/2015 ili Umma uweze kupata nafasi ya kulikagua Daftari la Awali na kutoa taarifa za kufanyiwa marekebisho pale inapostahili.
TAMWA YASISITIZA AMANI NA USAWA KWA WANAWAKE KATIKA UCHAGUZI MKUU 2025
-
Mwenyekiti wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA),
Joyce Shebe akizungumza kwenye Mkutano wa Taasisi ya Vyombo vya Habari
Kusini mwa A...
2 hours ago
0 MAONI YAKO:
Post a Comment