August 03, 2015

 Hiki ni kisima kilicho wazi kabisa ambacho camera yetu imekinasa. 
Hapa tumekutana na watoto wadogo wakichota maji katika kisima hiki ambacho ni hatari kabisa kwa watoto na wakazi kwa jumla. Kisima hiki kipo katika mtaa wa Area six B mjini Morogoro.
tazama hawa watoto wakiwa katika hatari kutokana na tatizo la upatikanaji wa maji

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE