Taarifa zilizotufikia hivi punde ambazo siyo rasmi ni kwamba Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma, Ndg. Adam Kimbisa,
aachia ngazi. Amedai kuwa anataka kumpumzika siasa ila wadadisi wa mambo
wanasema ni maandalizi ya kuja UKAWA.
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment