Staa Chris Brown katudondoshea video ya ngoma zake mbili Liquor/ Zero kwa wakati mmoja zikionekana katikaVideo moja. Ngoma zote zipo katika album yake mpya ‘Loyality’
Karibu uitazame hapa mtu wangu
MABESTE AWAPA MAKAVU LIVE B-HITS"
Mabeste Venance ex-member wa B hits
music group kuna vitu hajavifurahia kwa upande wake kuhusu B hits na
uongozi wake na kuamua kuandika status ndefu kwenye facebook.
Kumbuka kwamba Mabeste hakuhama v…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment