Wakati siasa ikiendelea kuchukua
Headline na baadhi ya mastaa wakionesha hisia zao na mapenzi yao kwa
watu ambao ni wagombea kwa vyama mbali mbali, leo Msanii wa bongo fleva
Juma Nature ameamua kuweka wazi kuhusu msimamo wake kwa chama
anachokiunga mkono kuwa ni Chama cha Mapinduzi (CCM)
Hii ni baada ya kusikika kwa watu mbali
mbali kuwa Juma Nature amekuwa hana msimamo na kutokuonyesha muelekeo
wake leo ameamua kufunguka.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment