
Kupitia katika ukurasa wake wa Facebook, aliyekuiwa mgombea wa nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo mama Anna Elisha Mghwira amepandika maneno ahyo akimaanisha kumpa pongeza mpinzani wake Ndugu John Magufili. Mama Mghwira yeye ameshika nafasi ya tatu.
0 MAONI YAKO:
Post a Comment