Zanzibar Electoral CommissionImage captionMaafisa wa kituo cha kuhesabia kura shehia ya Saateni, Zanzibar wakihesabu kura.
Tume ya Uchaguzi Zanzibar imetoa matokeo ya uchaguzi wa rais ambayo yamehakikiwa kutoka baadhi ya maeneo visiwani humo. Kufikia sasa tume hiyo imetangaza matokeo kutoa majimbo 31 kati ya 54.
Matokeo hayo yaliyokuwa yametangazwa kufikia saa mbili jioni Oktoba 27 ni kama ifuatavyo:
Matokeo ya uchaguzi wa rais Zanzibar (Majimbo31/54)JinaChamaKuraAsilimiaKhamis Iddi LilaACT-W1890.1Juma Ali KhatibADA-TADEA930.0Hamad Rashid MohamedADC2520.1Said Soud SaidAFP2230.1Ali Khatib AliCCK2400.1Ali Mohamed SheinCCM139,55757.9Mohammed Massoud RashidCHAUMMA2570.1Seif Sharif HamadCUF93,69938.9Taibu Mussa JumaDM1180.0Abdalla Kombo KhamisDP860.0Kassim Bakar AlyJAHAZI2270.1Seif Ali IddiNRA630.0Issa Mohammed ZongaSAU1270.1Hafidh Hassan SuleimanTLP1070.0
Zanzibar ina jumla ya wapiga kura 503,860 waliojiandikisha kupiga kura, kwa mujibu wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.
Kwa habari zaidi kuhusu uchaguzi mkuu Tanzania bonyeza hapa uchaguzi: #tanzania2015
0 MAONI YAKO:
Post a Comment