October 10, 2015


Mwana muziki mwenye kipaji cha kukidhi haja toka nchini Tanzania King Kapita, amekuletea tena ngoma yake mpya kabisa aliyomshirikisha Cannibal Shaitta toka nchini Kenya wimbo unaitwa vizabizabina, wimbo ambao umefanywa na producer Johnn B na Kanyeria wa GrandMaster. Kimya cha King kapita kilisababishwa na ubize wake wa masomo nchini Afrika Kusini

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE