October 24, 2015


Rapper Roma Mkatoliki amepanga kuachia ngoma yake mpya kesho, amesema anaenda kuwasikilizisha Baraza la sanaa la Taifa (BASATA) kabisa ili wasije ifungia ikishatoka.

Kwa mujibu wa Post alioiweka amesema iwapo BASATA itampa Go ahead ataachia ngoma yake mpya kesho asubuhi

Siku chache zilizopita Roma alilalamika kuwa Tangazo la kuwa BASATA limeufunguia wimbo wake wa ‘Viva Roma Viva’ limeuathiri uchumi wake

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE