November 07, 2015

 

June 2015 mwimbaji wa bongofleva Linah aliingia kwenye headlines za kupishana kauli na mwigizaji Wema Sepetu baada ya kusemekana kalalamika kwenye Radio na kueleza kutoridhishwa kwake na kitendo cha Wema kumchukulia boyfriend ambaye alikua ni meneja wake vilevile

Wema alipohojiwa na Diva kwenye ‘Ala za rohoCloudsFM alisema hakufanya kilichotokea na wala picha aliyoipost Instagram akiwa na boyfriend huyo hakuwa na maana mbaya hivyo Linah amalizane tu vizuri na mpenzi wake ambapo Linah kwenye Interview na OnAIR with Millard Ayo siku nne baadae alisema kibinaadamu alijisikia vibaya.
Maamuzi mapya ya Linah na walipofikia, tazama hii video hapa chini…
           
Tumepata kutoka Millardayo.com

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE