Mkali wa muziki wa Rap nchini Tanzania anyefanya poa sana mpaka nje ya Tanzania kwa sasa Nay wamitego, baada ya kufanya poa na audio ya wimbo wake wa Nyumbani kwtu, wimbo ulioimbwa katika mahadhi ya mnanda, sasa ametuletea video ya wimbo huwo. Nay ambaye nyimbo zke nyingi zimekuwa hit, anaamini kabisa video ya wimbo wa nyumbani kwetu utakufanya uzidi kufurahi kazi zake anamaliza kwa kusema
ZAIDI YA WAKAZI 5,000 BABATI WAFURAHIA MAJISAFI MRADI WA BILIONI 1.9
-
Zaidi ya wananchi 5,000 kutoka vijiji vitatu vya kata ya Endamaghaay,
Wilaya ya Babati mkoani Manyara, wameanza kunufaika na mradi wa maji safi
na salama...
29 minutes ago





0 MAONI YAKO:
Post a Comment