November 17, 2015

Ubalozini.blogspot.com inakuletea exclusive kutoka kwa Mr Nay Wamitego. Wimbo unaitwa NYUMBANI KWETU. Hizi ni ladha na style mpya ukiangalia muziki ambao tumezoea kumsikia Nay akiwa anafanya. Lakini kipaji kinamruhusu kufanya vitu vya tofauti na basi ni wajibu wake kisanaa kufanya vitu tofauti. 
Pakua hili pini hapa:

Related Posts:

  • TANZANIA YAANZA MAZUNGUMZO NA KENYA KUHUSU SAKATA LA MAGARI Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania imeanza mazungumzo na serikali ya Kenya kuhusiana na sakata la magari ya Tanzania kuzuiliwa kuingia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini… Read More
  • MAGARI YENYE PICHA YA RAIS YAKAMATWA Licha ya rais wa Kenya Uhuru Kenyatta kuruhusu magari yanayobeba abiria nchini Kenya kuchorwa ama hata kupaka rangi yoyote ile,mabasi mawili yaliochorwa picha yake yamekamatwa na maafisa wa polisi mjini Mombasa Kenya.… Read More
  • UMESKIA HII KUHUSU MTANDAO WA WHATSAPP?? INGIA HAPA   Kila siku zaidi ujumbe billioni 30 wa mtandao wa WhatsApp hutumwa kulingana na takwimu mpya zilizotolewa na afisa mkuu wa mtandao huo Jan Koum. Pia kuna watumiaji millioni 700 wanotumia mtandao huo mara kwa mara. … Read More
  • WANNE WAFA AJALINI IRINGA    Muonekano wa lori lenye namba za usajili T122 ALW baada ya kugongana na basi la Fanuel Express  yenye namba za usajili T919 DCD katika Kijiji cha Ibetelo eneo la Nyororo, wilayani Mufindi mkoani Iringa… Read More
  • HIKI NDICHO KILICHOSABABISHA KASEJA KUACHWA YANGA     Leo jioni, Klabu ya Yanga imetangaza rasmi kuachana na Golikipa wake Juma Kaseja kuanzia leo baada ya kuwepo kwa hali ya kutoelewana baina ya kipa huyo na uongozi wa klabu. Mkuu wa Idara ya Habari na Mawa… Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE