Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, hatimaye mwanamuziki wa Bongo Fleva kutoka mkoani Morogoro Criss wamarya amekuletea rasmi Video yake mpya ya wimbo wake uliofanya poa sana wa Cheusi Mangala. Video ya wimbo huwo imefanyika mkoani Morogoro chini ya DR. GQ wa studio za Digital Vibes za mjini Morogoro. Criss wamarya katika video hiyo amevalishwa na mbunifu maarufu wa mavazi nchini bibie Diana Magesa
Kilio ACT ikipigania haki ya uchaguzi
-
CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema safari ya kuitafuta haki ya uchaguzi
inaendelea. Lakini papohapo, kingependa kuona Mahkama
0 MAONI YAKO:
Post a Comment