#TAHADHARI:Taarifa
hiyo hapo Chini inayosambaa kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii
ikionesha ITV imesambaza ujumbe huo tunaomba muipuuze kwa kuwa hatuwezi
kufanya jambo kama hili kwani tupo makini,wasambazaji wa taatifa hizi
wanapotosha umma.

Machaku
0 MAONI YAKO:
Post a Comment