Matayarisho yakiendelea kwenye fukwe za Escape 1 kwa ajili ya kusema #Ahsante2015 na kuukaribisha mwaka 2016, njoo tusherekehe pamoja kwa mtonyo wa 10,000 tu, huku tukipata burudani kibao kutoka Wanamuziki wa Bongo flava na kufyatua mafataki, ukiburudishwa na Ruby, Kassim, Alice, Baraka da prince, Madee, Mr blue, Chemical, Stosh, Mo Music, Malaika, Shilole, Galaxy, Maua Sama , Maeda, Sulii nk.







0 MAONI YAKO:
Post a Comment