Kivuko cha mto Kilombero kimezama kikiwa na idadi kubwa ya watu na mizigo. Idadi ya waliookolewa mpaka sasa yafikia 11. Taarifa kamili tutawaletea
KATIBU WA UWT TAIFA AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KATIKA KUAGA MWILI WA
BALOZI JUMA SAIGWA MACHAKA DODOMA
-
Na Barnabas Kisengi, Dodoma
Mamia ya waombolezaji wamejitokeza kushiriki ibada ya kuuaga mwili wa
marehemu Balozi Juma Saigwa Machaka, aliyekuwa kada wa ...
3 hours ago






0 MAONI YAKO:
Post a Comment