January 15, 2016

Msanii wa Bongo Fleva Baraka Da Prince ameongelea kuchelewa kwa video ya wimbo wake aliofanya na Ruby ‘Vumilia’ nakusema kunauwezekano isifanyike.

Baraka anasema “Wimbo wa Vumilia nilifanya kwenye usimamizi tofauti na nilionao kwa sasa so niliona italeta matatizo tena na watu kuongea zaidi ndio maana sijaifuatilia, kuna uwezekano wa kufanyika ila mpaka tufanye maongezi, ndio maana nimetoa video ya wimbo mwingine“.

Baraka Da Prince ametambulisha video ya wimbo wa ‘Siwezi’ iliyotayarishwa na Kevin Bosco wa Kenya.

Related Posts:

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE