January 20, 2016

Lupita ameikosa Oscars kwa kutowateua wacheza filamu weusi

Mcheza filamu raia wa kenya Lupita nyongo ameungana na wacheza filamu wengine kushutumu kutojumuishwa kwa wacheza filamu weusi au wale wachache kutoka kwa orodha ya wale wanaowania tuzo la Oscars.

Katika mtandao wake wa Istagram Lupita alisema kuwa alikuwa amekasirishwa kwa kukosaa kujumuishwa kwa wacheza filamu weusi.

 
Jada pinket Smith(kulia) anasema hatahudhuria tuzo za Oscars

Mwaka 2014 Lupita Nyongo alishinda tuzo la Oscar kutokana na wajibu wake katika filamu ya Twelve Years a Slave.

Anaungana na wacheza filamu wanaozidi kuongezeka wakiwemo David Oyelowo na Don Cheadle ambao wamekosoa tuzo za Oscars kuwa kukosa kuteua watu kutoka tabaka zote.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE