Asimamishwa kazi kwa kumtumia JK ‘meseji’
Mhasibu wa Hospitali ya Rufaa KCMC, Paul Mhumba amesimamishwa kazi
kwa tuhuma za kutuma ujumbe wa simu ya mkononi (sms) kwa Rais Jakaya
Kikwete.
Kuvuja kwa ujumbe huo na nambari ya simu iliyotuma, kumeibua hisia
…Read More
Nkurunziza awafuta kazi mawaziri 3
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza,
amewafuta kazi mawaziri watatu, huku maandamano yakiendelea katika mji
mkuu kufuatia jaribio la mapinduzi, juma lililopita.
Mawaziri walioachizwa kazi ni wa Ulinzi, mashauri ya …Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment