Hitmaker wa Mwana, Alikiba amesema hajawahi kutongoza mwanamke katika maisha yake yote. Kiba ambaye kwa sasa anadaiwa kutoka kimapenzi na Jokate, alikiambia kipindi cha The Sporah Show kuwa wasichana anaotoka nao huanza nao kama washkaji.
“Haya mambo ya kutongoza mimi sijatongozaga,” alisema . “Mimi nakwambia maisha yangu yote sijawahi kutongoza. Tunakuwa friendly hivyo vitu vinatokea halafu basi, tayari wapenzi.”
Source:Bongo5
0 MAONI YAKO:
Post a Comment