Kilichotokea Escape one katika show ya kuukaribisha mwaka 2016
Msanii Chemical ndiye aliyefungua pazia la burudani pande za Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Watu mbalimbali waliofika Escape 1 kuukaribisha mwaka Mpya 2016.
Msanii Matonya akiwapa burudani mashabiki waliofika Escap…Read More
Vigodoro, baikoko marufuku
BARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), limeanza kung’ata kwa kutumia kanuni ili kudhibiti uchafuzi wa mazingira kwa kelele na mitetemo.
Kwa sasa mtu akitaka kufanya sherehe mtaani, kupiga muziki k…Read More
Kilichoandikwa katika magazeti ya leo hii ni hiki hapa
Leo January 2, 2016 tumekuwekea tena stori zote kubwa za Magazeti ya Tanzania kuanzia kwenye Udaku, michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea. Pitia katika meza ya magazeti iliyo karibu nawe
.
.
.
.
.
.
.
…Read More
Wachunguzi waanza kuchunguza chanzo cha motoMaafisa wanasema moto ulianza ghorofa ya 20 upande wa nje na haukusambaa ndani ya hoteli
Wachunguzi mjini Dubai wanajaribu kubaini chanzo cha moto uliozuka katika hoteli ya kifahari mkesha wa Mwaka Mpya na kujeruhi watu kadha…Read More
0 MAONI YAKO:
Post a Comment