February 15, 2016

                          

Nyota wa muziki wa RnB Lionel Richie achaguliwa kuwa mtu wa mwaka wa MusiCares wa mwaka 2016 katika tamasha la muziki jijini Los Angeles

Msanii wa muziki wa RnB Lionel Richie siku ya Jumamosi katika tamasha la muziki jijini Los Angeles alitajwa mtu wa mwaka wa MusiCares wa mwaka 2016.Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 67 alijiunga na wanamuziki wenzake wa muziki kutumbuiza mashabiki kwa vibao vyao vikali.

Nyota wengine wakongwe waliotumbuiza ni pamoja na John Legend, Lenny kritvz,Usher,Pharrel Williams na Demi Lovato.

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE