February 10, 2016

Mkali wa muziki wa bongo fleva mwana dada Dayna Nyange, ametuletea audio ya wimbo wake mpya wa angejua ambayo video yake kwa sasa inafanya poa sana. Wimbo umefanyika katika studio za Free Nation chini ya Producer MR: T

Download hapa
  

Related Posts:

  • Brand New Audio: 20% - Sitoi Amekaa klwenye game kwa muda mrefu na aliandika historia ya Tanzania Music Award baada ya kuchukua tuzo 5.Akakaa nje ya game kwa muda. Anasifika kwa uwezo wake mkubwa sana wa kutunga nyimbo zenye ujumbe na sauti yake y… Read More
  • Ripoti kuhusu ufisadi NSSF, Ingia hapa kuipata Mapema leo, Julai 18, 2016 Wakurugenzi 6 na Mameneja 6 wa NSSF walisimamishwa kazi ili kupisha uchunguzi wa utumiaji mbaya wa madaraka katika kutoa ajira, manunuzi na mengineyo. Hapa chini ni taarifa ya ukaguzi wa hesa… Read More
  • Dayna Nyange na Bill Nass ndani ya Komela Jumaatano    Kaa tayari kwa zigo jipyaaa  👉✨‪#‎KOMELA‬"🔥✨ @daynanyange ft@billnass#‎July20‬#‎JumatanoHii‬#‎SaveTheDate‬  #‎PleaseShareThisPost‬ Mwanamuziki toka mkoani Morogoro Dayna nyange Jumatano hii, a… Read More
  • Picha: Moto wateketeza vibanda katika soko la Mwanakwerekwe Zanzibar Vibanda vya wafanyabiashara katika soko la Mwana Kwerekwe Zanzibar vimetetekea baada ya moto mkubwa kuwaka sokoni hapo. Chanzo cha moto huo ni uchomaji watakataka pembezon… Read More
  • FIFA yatoa Ratiba ya vilabu   Shirikisho la soka Ulimwenguni (FIFA) limetoa Ratiba ya Kombe la Dunia kwa Klabu ambalo litadhaminiwa na Alibaba E-Auto na kufanyika huko Japan kati ya Desemba 8 na 18.Mashindano haya yatashindaniwa na Klabu 6 … Read More

0 MAONI YAKO:

Post a Comment

Popular Posts

WADAU

BLOG ZINGINE